Thursday, October 29, 2015

JIKINGE NA KIPINDUPINDU KAMA HIVI1.   Tumia maji safi na salama katika;

-         Kunywa

-         Kupigia mswaki

-         Kutengenezea barafu( kwa wale wafanya biashara au hata kwa matumizi ya nyumbani)

-         Osha vyombo vya kulia chakula kwa maji safi na salama. Tena vikauke kabla ya kutumia.

-         Safisha jikoni

2.   Osha mikono yako kwa maji safi na salama mara kwa mara.

3.   Tumia choo chako kwa usafi

4.   Pika chakula kiive vizuri…kifunikwe wakati wote….kula kikiwa cha moto…menya matunda na mboga za majani

 

UONAPO DALILI ZA KIPINDUPINDU NENDA HARAKA HOSPITALI

 

 

MAONI, MASWALI NA USHAURI TUANDIKIE agripambwamboo@gmail.com

AU 0716648735/0688648735

LIKE katika ukurasa wetu wa facebook.

1 comment:

  1. Safi sana bwana agripa kwa kuelimisha jamii mungu akubatiki saaaaaana

    ReplyDelete