Monday, December 8, 2014

IJUE AFYA YAKO

 
Kuna magonjwa mengi sugu ambayo huanza polepole na hatima yake ni mbaya. Mfano kisukari,kansa,matatizo ya presha nk. Hivyo basi kuna umuhimu wa kujua afya yako mara kwa mara, na inashauriwa angalau kila baada ya miezi mitatu. Hii haijalishi unahisi dalili za ugonjwa ama la!
Faida;
-         Unajua afya yako mapema zaidi na kama ina shida unaanza matibabu mapema zaidi
-         Kujua afya yako mara kwa mara kunapunguza idadi ya vifo vya ghafla
-         Pia inasaidia sekta ya afya kuongeza ufanisi katika takwimu za kiafya
-         Kujua afya yako inakusaidia kuishi kwa  kujiamini.
Familia; ni wajibu wa kila mtu katika familia kumhimiza mwenzake kutembelea vituo vya afya  na hospitali mara kwa mara.
 
 ……………IJUE AFYA YAKO,ISHI KWA AMANI……………..
 

No comments:

Post a Comment