Friday, August 22, 2014

JUA UZAZI WA MPANGO HAPA!!!!!!


 

Uzazi wa mpango ni kupanga au kuchagua ni wakati gani unapenda kuwa na mtoto,idadi,na upishano wa miaka kutoka mtoto mmoja hadi mwingine.

Zipo njia nyingi za kisasa za kupanga uzazi;

1.  Vidonge vya kumeza vyenye vichocheo vya aina mbili

2.  Vipandikizi(norplant)

3.  Njia za maumbile

4.  Vidonge vya kumeza vyenye kichocheo cha aina moja

5.  Kondomu

6.  Kufunga kizazi mwanamke

7.  Depoprovera

8.  Kufunga kizazi mwanaume

9.  Njia ya unyonyeshaji baada ya kujifungua

10.              Kalenda

TAHADHARI: NENDA KWA  DAKTARI AKUSHAURI KWANZA,AINA NA NAMNA YA KUTUMIA.

IMEANDALIWA NA : BWAMBO HEALTH TEAM

KWA SWALI,USHAURI AU MAONI,TUANDIKIE; agripambwamboo@gmail.com

SIMU NAMBARI +255 716648735  AU  +255 688648735

Kama bado hujaLIKE ukurasa wetu wa facebook, plz jaribu kuLIKE ili upate shule ya ukweli hapa.

No comments:

Post a Comment