Sunday, December 15, 2013

EPUKA CHUMVI ZA MEZANI KIAFYA


Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonyesha kuwa mwaka 2005 peke yake palitokea vifo vya watu milioni 17.2 duniani kwa magonjwa ya moyo.

Hii ni  asilimia 30 ya vifo vyote duniani huku kina mama wakiongoza kwa kufa zaidi. Pia, kila mwaka katika vizazi hai 1,000, watoto wanane huzaliwa na matatizo ya moyo katika

FAIDA ZA KIAFYA ZA MBEGU ZA MABOGA


FAIDA  ZA  KIAFYA  ZA  MBEGU  ZA  MABOGA


Mbegu  za  maboga  zina  faida  nyingi  sana  kwa  afya  ya  mwanadamu.   Mbegu  za  maboga   zimethibitika  kuwa  na  kiwango  kikubwa  cha  virutubisho  vya  aina  mbalimbali  kuanzia  magnesium, manganese, shaba, protini, zinki  nakadhalika.  Zifuatazo  ni  baadhi  ya  faida  za  matumizi  ya  mbegu  za  maboga.