Wednesday, October 9, 2013

JE WAJUA VITU VINAVYOCHANGIA UUME KUSHINDWA KUSIMAMA WAKATI WA TENDO LA NDOA??


Kuna sababu za kifiziolojia(physiological) na za kisaikolojia (psychological) zinazochangia kusababisha uume kushindwa kusimama wakati wa tendo la ndoa:

-       Mojawapo ya sababu za kifiziolojia ni pamoja na kupungua kwa damu inayotakiwa kujaza mishipa ya damu katika uume, na kuharibiwa kwa neva zinazopeleka habari au taarifa  katika ubongo juu ya tendo hilo.

-       Sababu zingine ni pamoja na;

☻ Magonjwa ya mishipa ya damu

☻ Kisukari

☻ Kutumia baadhi ya madawa kwa muda mrefu

☻ Magonjwa ya neva za fahamu

☻ Kufanyiwa upasuaji katika uume,au kupata ajalina kusababisha uume kuumia au kufanyiwa kipimo cha mionzi (radiation) sehemu za uumeni.

 

 

NB: Mara uonapo dalili za uume kushindwa kusimama,haraka sana nenda kamuone daktari atakusaidia,au wasiliana nasi katika namba zetu za simu kama zinavyoonekana katika tovuti yetu kwa ushauri zaidi au maswali.

                           AU

Uliza au komenti katika hii habari.

 

 

 

    -----------------ASANTE----------------------

1 comment: